Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

We unaifananisha Argentins ya sasa na ya 2014??!!
Yelewiii inamaana hatta nachokiandika hukielew
Timu ambayo imecheza FAINALI 2 ZA COPA AMERIKA NA FAINALI 1 KOMBE LA DUNIA unasema haina mabeki na viungo wazuri? hv akili yako imo kweli?
 
Hatumii akili huyoo.
Me nazungumzia sasa yeye analeta habbar za 2014.
Ilhali hiyo 2014 walimtukuza Messi wananchi wa Argentina.
Ilhali zile copa America alizokosa kuchukua fainal bado walimtia moyo WaArgentina kwasababu waliona mchango wake kuwa magoli yake na assist zake 90%.
Ndizo zimeisaidia Argentins ifike pale fainal.
Ukiangalia sasa anatupiwa lawama nyingi ilhali 2017 kushuka chini walikua wakimtukuza mpk kuna machiz boti wawili walikufuru kwa kumsujudia ile match dhid ya USA.
Huyu mchizi ukiandika kitu hakisomi akakielewa anakurupuka km kakalia miba
Anasemea kipindi hiki mkuu... Si unajiongeza tu mwana...
Ku
 
Embu soma nilicho quote maana hatta kuelewa hujaelewa
Magoli hata Lukaku anaongoza pale BELGIUM.. Messi kila mashindano ya taifa anachotaka ni ndoo ili aache alama, we unatuletea habari za Kagerd alisema vile?
Nani hajui uwezo wa messi?.. Aibebe timu hata asipofunga muhimu ndoo tu
 
Umeandika mavi matupu kabisaaa!

Ok kama ni hivyo 2017 kushuka chini, kikosi cha argentina na portugal kipi kilikuwa kizuri!

Sometimes tuwe tunaongea ukweli na kuacha mapenzi.
 
Argentina ana wachezaj wazuri ila hawaendani uchezaji wao.
Yani hawawez kutengeneza ile chemistry inayotakiwa.Na kingine most of Argentinian players wna mpira wa show off km Brazil.
Unapozungumzia Portugal.
Portugal ina wachezaji ambao hawana majina ila wanatengeneza chemistry nzuri ya kuweza kufanya team kuwork.
Hapo ndipo unaona utofauti kwamba hata team ya club inaangalia mchezaji yupi ataendana na uchezaji wa team yetu.
Asa Argentina wachezaji wanao cope uchezaji na messi ni Aguero,Dimaria,Banega sidhani kama kuna mwengine alikua na Lavezzi basi.
Nadhani hapo umenielewa na sio tu kuongea eti nimeandika mavi matupu.
Portugal ni kama Belgium ama Japan wana wachezaji wenye discipline zinazoendana kimchezo sio kama Argentina majina makubwa ila hawana wachezaji wenye kujituma ktk team yao ya taifa na wala hawaendani ki discipline ya uchezaji ndio maana messi anafeli.
Mfano mechi ya Paraguay messi anatoa pasi huku chezaji linaenda kule.
Messi anafanya give and go chezaji linatoa pasi fyongo yani hawaana discipline ya uchezaji unaoendana na Little magician kabbisa.
Ila angalia team km Japan world cup ilivyofanya yake.
Hawana wachezaji wakubwa but discipline ya uchezaji zinaendana kagawa akitoa pasi hapa mtu anarespond maji yakimwagwa ndani watu wanakimbilia kufunga.
Nadhani ushaona utofauti.
Umeandika mavi matupu kabisaaa!

Ok kama ni hivyo 2017 kushuka chini, kikosi cha argentina na portugal kipi kilikuwa kizuri!

Sometimes tuwe tunaongea ukweli na kuacha mapenzi.
 
Magoli hata Lukaku anaongoza pale BELGIUM.. Messi kila mashindano ya taifa anachotaka ni ndoo ili aache alama, we unatuletea habari za Kagerd alisema vile?
Nani hajui uwezo wa messi?.. Aibebe timu hata asipofunga muhimu ndoo tu

Huyo lukaku ana kitu gani cha kumzidi Messi? Yani kumfananisha lukaku na mchezaji ambae hajawahi kutokea kwenye hii sayari kumkosea heshima. Wewe jamaa una chuki sana sana kwa Messi.
 


Umeongea fact, na mjadala ufungwe.
 
Conclusion yako ni;
Messi anabebwa na Barcelona na sio uwezo binafsi pekee kama mashabiki wa Messi wanavyojiaminisha ;

Kuna uwezekano mkubwa Messi akiwa nje ya Barcelona anaweza asifanikiwe Kwa kuwa tumeshathibitisha kuwa team isipokuwa vizuri Kama ilivyo Argentina Messi hana miujiza tena.

Au kuna ubishi kwenye hili ?
 
Umeongea pumba tupu.
Hakuna mchezaji atakaefanya vizury pasi na kuwa na. Team yenye wachezaji wazury.
Mfano mzury cr7 wako kashindwa kuipeleka juve nusu fainal katolewq na makinda wadoogo tena ajax.
Messi kipindi yupo xavi na. Iniesta mlisema anachezeshwa.
Lakini wameondoka yeye ndio anaonekana anaibeba Barcelona.
Barcelona ndio inamtegemea messi sio mess kuitegemea Barcelona.
Na hapo unatakiwa kuelewa kuwa hatta bab ako hawez akamwachia kampuni kaka ako alie na ubovu wa akili akat ww upo.
Ndio sawa na Argentina.
Messi anajitahidi kuwachezesha Argentins ila wachezaji hawana discipline ya mpira.
Ila mbona akiwachezesha watu wa barca wana respond.
Ni kwasababu wana discipline ya mpira.
Labda hukuelewa hiyo quote yangu vizury.
Ni sawa useme cr7 hajui kisa kashindwa kuwafunga ajax.
Ilhali wachezaji wa juve walishindwa ku coperate nae km inavyotakiwa ndio maana juve wakafungwa
 
Isome quote yangu vizury pengine hukuelewa vema
 
Unaamini Barcelona hawawezi kufanya vizuri bila Messi ?
 
Isome quote yangu vizury pengine hukuelewa vema
Kwa hiyo X factor ni Messi au Barcelona ?? Mind that Messi hajawahi kushinda any major Trophy katika his adulthood career nje ya Barcelona
 
Hawawezi na hatta rais wa barca na valverde walikiri hilo kwamba itachukua muda kupata mbadala wa messi.
Fact kuwa barca hawawez bila messi kwa sasa;
1)mechi takriban sita barca Umeshinda kwa come back ya magoli ya messi.
2)kuna magoli takriban 8 au tisa yaliotumika kusawazisha magoli aliofungwa barca ambayo ni mipira ya foul.
3)magoli ya messi ktk uefa ndio yalichangia kuipeeleka barca kufika mpk nusu fainali nadhan unakumbuka na ule mfaulo aliopigiwa Allison.
Unaamini Barcelona hawawezi kufanya vizuri bila Messi ?
 
Nakubali hajawahi lakini ana tuzo binafsi za kidunia ambazo ronaldo hana.
Kwa hiyo X factor ni Messi au Barcelona ?? Mind that Messi hajawahi kushinda any major Trophy katika his adulthood career nje ya Barcelona
 
Huyo mdebwedo Messi kumuondoa BARCA anakuwa si yeye kabisa yule anayevuma sana BARCA. Sasa mchezaji kama huyo unamlinganisha vipi na CR7 ambaye kila alipokwenda duniani kwenye ligi kubwa ameng’ara na timu ya Taifa pia anafanya yake. Messi mwambie ahamie ligi nyingine duniani utaona sura yake inavyojaa hofu😎😎😎

Wakati huohuo mnyama Cr7 yeye anabeba makombe kila uchwao na timu yake ya Taifa.
View attachment 1132511
 
Huyo cr7 aliyeshindwa kuwafunga Ajax.
Si bora messi alitolewa na Liverpool
 
Cr7 alipewa utukufu Real Madrid tyuu hakuna kwingine.
Na piga picha angebaki man United angekuwa ktk hali gani.
Ukitaka kujua cr7 mviziaji tyuuu kuna maajabu gani kafanya kule juventus km sio Ajax kumshika sharubu?!
Yule alikua anashinda real Madrid kuna marcelo mtia mitungi kuna mkandarasi modric.
U
 
Ila mwangalie messi.
Hatakama Argentins mbovu ila watu watakwambia Argentins haikushinda ila messi kaonesha ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…