Ndo raha ya kuwa singoli.. furahia kwa muda mwakani nakuozaSis me niko mwenyewe 😁
Kujipikia mara kwa mara ni mtihani kidogo
Take away chap, jioni imeisha
[emoji846]Unaleta mambo ya taifa stars
🤣🤣🤣 fanya iwe mwaka kesho kutwa ndo mwakani niwe busy kujifunza mapishiNdo raha ya kuwa singoli.. furahia kwa muda mwakani nakuoza
Hata hao wakijitoa watt wa malkia bd watakua na kaz ya kina Serbia na Denmark hakika hawatoboi mkuu.
Mkuu rule namba 1 ni kwamba hili kombe kivyovyote vile lazima tuchukueUzalendo unauma ila acha niwe mzalendo
Tumezoea malkia mkuu.. Huyo Charles Ata haisound good kbs...Tuendelee kumkmbuka Malkia tu.Malkia hatupo naye
Tunaye King Charles
Hahahaa umenishinda tabiaa 😆 😆 😆 😆 😆🤣🤣🤣 fanya iwe mwaka kesho kutwa ndo mwakani niwe busy kujifunza mapishi
Download app moja inaitwa Cyprus TV.. Huko utaona kila. Aina ya mechi ni ww na bundle lako.Tanesco wamefanya yao mnisaidie link ya kustream tuu
Namna nimeacha taa on wakirudisha nione🤣 lakini sioni daliliTanesco wamefanya yao mnisaidie link ya kustream tuu
Itakuwa device yake imemuishia chaji ama sio basi ni Tanesco washa fakisha area yake
Weeee upo peke yako? Haiwezekani kwakweli!Sis me niko mwenyewe [emoji16]
Kujipikia mara kwa mara ni mtihani kidogo
Take away chap, jioni imeisha
Isiwezekane kwanini 😆Weeee upo peke yako? Haiwezekani kwakweli!
Hizi tekino zinatusumbua sana, tuendelee kuvumiliaaItakuwa device yake imemuishia chaji ama sio basi ni Tanesco washa fakisha area yake
Hata mimi dakika za mwishoni simu ilikata moto
Hizi Tecno P5 huwa hazikai sana chaji kama iNote