Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dah! Ukiangalia world cup ndio unajua sie tupo dunia ya mwisho kabisa. Yaani tunashindwa ata peleka match official mmoja kweli. Yaani kuangalia screen ya var nayo twashindwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Taabu nilipata kule afrika kusini

Mechi ilikuwa ya muhimu sana

Uruguay vs Ghana

Ilitokea dkk za lala salama lui suares aliudaka mpira na kuuzuia kwa mikono yake

Suarez akala umeme refa akatenga tuta

Asamoa gyan akiwa kwenye ubora wake alikosa tuta

Mzee kofi annan aliita waandishi wa habari alilia machozi
Hd leo simpend suarez kwa kitendo chake cha kuokoa goli kwa mkoni. Asamoah nae alituangusha Africa dah tungeweka historia kufika nusu. Niliumia sn
 
Back
Top Bottom