Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hakika ukimsikia huyu unajua kwl unaangalia mechi.. Pa1 naangalia kwny Sim lkn walau sikosi sauti kutoka kwa the GOAT commentator.Hatimae sauti ya Peter Drury
huku kwetu tangu kumekucha haupo mpaka muda huu yan uzuri niko nasolar ndio napata huu uhondo saa hiziTanesco wako serious kukuza uchumi wa ndani...wamekata umeme
Yani unaenjoy sanaHakika ukimsikia huyu unajua kwl unaangalia mechi.. Pa1 naangalia kwny Sim lkn walau sikosi sauti kutoka kwa the GOAT commentator.
Napenda asonge ili mashabiki waendelee baki Qaatar
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
AmenGod Bless Africa
God Bless Senegal
Watutoe kimaso maso ✌️
Tanesco wako serious kukuza uchumi wa ndani...wamekata umeme
Wamevizia wimbo taifa wa Uholanzi umeisha tu na umeme wamekataTanesco wameshafanya yao. Zimeisha nyimbo za taifa tu, wamegusa switch.
Halafu mniambie nikifa niende motoni wakati tayari nipo Tanzania [emoji23]
Hd leo simpend suarez kwa kitendo chake cha kuokoa goli kwa mkoni. Asamoah nae alituangusha Africa dah tungeweka historia kufika nusu. Niliumia snTaabu nilipata kule afrika kusini
Mechi ilikuwa ya muhimu sana
Uruguay vs Ghana
Ilitokea dkk za lala salama lui suares aliudaka mpira na kuuzuia kwa mikono yake
Suarez akala umeme refa akatenga tuta
Asamoa gyan akiwa kwenye ubora wake alikosa tuta
Mzee kofi annan aliita waandishi wa habari alilia machozi
Iran siyo waarabu. Ni nchi ya KiislamuIran niwazuri sana japo awana wachezaji wa league kubwa kubwa lakni wajituma niliona game yao na ureno jamaa niwazuri. na USA atoboi alfu Iran yupo kw warabu wenzake lazma kiwake
Tupo pa1 leo. Kila la kheri kwa Senegal
Amka usingiziniSi ulimuona Queiroz mataifa Africa na Egpty, anapaki basi hatari, hii mechi imeandikwa 0-0 ama 1-0 sio mechi ya magoli mengi.
Hatimae sauti ya Peter Drury