Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
tumejipa uraia wa Senegal kwa mudaTanzania inacheza ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumejipa uraia wa Senegal kwa mudaTanzania inacheza ama?
ilipaswa kua mubashara s ndio?? usijali mkuuNi joke tu mkuu, badala ya Mubashara wameandika Mbashara,
Nafkiri imekuwa hivi sababu source ni HD ila TBC wanaionesha kwa quality ndogo.
Usipo upgrade decoder ya Dstv kwenda HD pia quality inakuwa hivi.
Hahahahhhaàaa. Na imesaidia 😂😂😂😂Hawa watu wamekosaa goal la waziii
Nilibanaaa kidole 🤣🤣
Hd leo simpend suarez kwa kitendo chake cha kuokoa goli kwa mkoni. Asamoah nae alituangusha Africa dah tungeweka historia kufika nusu. Niliumia sn
wanacheza kwa kutulia lakini wakifika golini wanakua na kiweweSenegal wazuri asee
Amejaribu moja likawa off targetDiatta yale mashoot vipi
Yn sitakagi hata kukumbuka ile mechi, roho inauma sn. Mwaka huu wamepangwa group moja, Ghana walipe kisasi kwa kweliYeye aliumia sana asamoah ilimsababisha akaondoka kwenye soka la ushindani