Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Viva la Sènegal
Hii game Senegal wins or draw
Hii game Senegal wins or draw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wakiendelea kupiga kross za juu sidhan kama watapata goli senegal wana wachezaji warefu nyuma kuleWale tuliobet kwa Holland gonga like sinaga uzalendo kwenye masuala ya pesa.
Tunakula mikate tuu na mayai leo hatupiki tunaangalia waafrica wenzetu. Black football mattersHalf time jamani
Mwende mkale 😁
Tatizo tunadhani tutafika mbali kutegemea hizi hizi timu zetu Simba na Yanga. Football, au mchezo wowote au kitu chochote ili ufanikiwe kinataka Commitment.Ukiangalia timu za Taifa za wenzetu zinavyocheza ndo utajua Tz tuna safari ndefu sanaaaaaa
Ha ha ha Qatar washukuru hawakupangwa na wazee wenye roho mbayaa kama Ujerumani.Senegal walistahili kuwa wenyeji wameupiga mwingi sio kama wale Qatar
Kabisa Waarabu wametuangusha maneno mengi sanaSenegal walistahili kuwa wenyeji wameupiga mwingi sio kama wale Qatar
Usiseme tuna safari ndefu kiufupi hatuna safariUkiangalia timu za Taifa za wenzetu zinavyocheza ndo utajua Tz tuna safari ndefu sanaaaaaa
Ht: 0-0Game ngapi ngapi apo?
Lakini sio Iran, team Iran sijui Wana Hali Gan😂😂😂Ukiangalia timu za Taifa za wenzetu zinavyocheza ndo utajua Tz tuna safari ndefu sanaaaaaa
Apa mwamba kakosa goli la wazi??[emoji846]View attachment 2423400