Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiruuuHili kombe atabeba Denmark
Ila Iran walitepetaLakini sio Iran, team Iran sijui Wana Hali Gan😂😂😂
Safi, tukose woteNaona wamekata kote aisee
Wale ni underdog watafika mbali. Hata euro walijitahidiKiruuu
Hao waache waendelee kuuza maziwa
Vi senegal bado vidogovidogo bado wabichiii
Ngoja tuingize depay tumalize kazi maana Senegal wanataka kukazaWale tuliobet kwa Holland gonga like sinaga uzalendo kwenye masuala ya pesa.
Keka linaenda kuchanikaWale tuliobet kwa Holland gonga like sinaga uzalendo kwenye masuala ya pesa.
Yuko poa sanaHuyu Dogo Diatta aliyetupiga goli Afcon, alitaka kujaribu hapa, si haba
Jana nilichek mech kwa tbc Leo nimechek dstv chanel 225 asee goma liko clear utazan niko Qatar
SureTatizo tunadhani tutafika mbali kutegemea hizi hizi timu zetu Simba na Yanga. Football, au mchezo wowote au kitu chochote ili ufanikiwe kinataka Commitment.
Tutaona baada ya mechi itakuwajeWale tuliobet kwa Holland gonga like sinaga uzalendo kwenye masuala ya pesa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uholanzi huwa hana uwezo wa kufunga magoli kwenye kombe la dunia, labda umeanza kuwaangalia leo. Wakitengeneza nafasi 10 ndio wanaweza kuotea moja.Wale tuliobet kwa Holland gonga like sinaga uzalendo kwenye masuala ya pesa.
Tumetokota...hivi shida ni nini jamani. Usimba na uyanga unafanya watu wavimbeUsiseme tuna safari ndefu kiufupi hatuna safari