Sawa muarabu wanguTuliaaa ww
Kaa karibu na maji , koo lisije kukukauka[emoji23][emoji23] Yaani najijua na roho yangu sasa hivi nitakuwa siangalii huu mpira
Wamepata counter attack chance moja wakazembea. Wangekaa vzr ilikuwa goliSiamini kama Morroco wataweza kulinda goli..
Tbc television ya mchongo hiyo bola uende kibanda umiza kuliko wapuuzi haoHivi hawa tibisiii ndo HD hii walosema wanarusha match inakua ina stack stak kama wana watch online[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119].
Daaah!Haitaji any lubricant 😂😂😂😂💃
Tafuta hela ndugu tbc siyo channel ya kuoneshea mpiraHivi hawa tibisiii ndo HD hii walosema wanarusha match inakua ina stack stak kama wana watch online[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119].
wajanja tunaenjoy kwenye simu zetu full hdTbc television ya mchongo hiyo bola uende kibanda umiza kuliko wapuuzi hao
[emoji23][emoji28]Tafuta hela ndugu tbc siyo channel ya kuoneshea mpira
Hahahah nimecheka ila ushauri mzuri nyie mapenzi ya mpira mabaya sanaKaa karibu na maji , koo lisije kukukauka
HahahahaaaaTafuta hela ndugu tbc siyo channel ya kuoneshea mpira
Usiseme nusu fainali, jana tumeshuhudia timu ikirudisha bao 2 kwa dakika 7Timu ya kwanza kutoka afrika kufika nusu fainali
Mwache kocha akaze fuvu hivyohivyo [emoji1787]Hii game naiona kama ya CR7... Kule mbele inatakiwa mipira ya juu ili kuifunga Morocco...
Ah kama hivyo basi tupo nao sambamba japo sio kiviiiileeeeWaliomba samahani. Mtoto akinyea mkono huukati
Wewe upo?Hahahahaaaa
Kingine unachotakiwa kuamini, Morocco ana nafasi kubwa ya kuongeza goli sababu anacheza kwa nidhamu ya hali ya juu ,haijaishi akishambulia au akiwa anakaba.Siamini kama Morroco wataweza kulinda goli..