Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
NipoWewe upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NipoWewe upo?
[emoji16]Sema tunaoangalia Tbc macho yanauma. Kwanza wachezaji sijui wanatembeaje ni kama wako eneo lisilo na gravity ila pia mpira hauonekani uko wapi.. Nataka kipindi cha pili niwe na redio pembeni inisaidie
Lamba glucoseToka Brazil alivyotoka hamu ya mpira imepotea kabisa
Hii match inarushwa TBC kwani?Hivi hawa tibisiii ndo HD hii walosema wanarusha match inakua ina stack stak kama wana watch online[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119].
Ndio, ila waliingia kwa tiketi ya Bara la Africa.Yupo sahihi si warabu bhana
Ronaldo angefanya nini hapa hata kama angeanza...zaidi sana angewafanya wenzake wawe pungufuHuyu kocha wa Portugal atajuta kutomuanzia Ronaldo
Lawama zote atazibeba.
Anamuiga Ten Hag kumuweka CR 7 benchii,haya ngoja tuone.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanaheshimisha Waarabu na waislamu wa UarabuniMorocco oyeeeeeeee.
timu pekee ya Afrika hakika inatuheshimisha.
Unafanyaje mkuu, nipe maujanjawajanja tunaenjoy kwenye simu zetu full hd
Shega tuu mtaniMara paap Morocco inatinga fainali 🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
We dada vana, mbona mashemeji wamekua wengi sana. Mbappe baby wako, Hakim baby wako, Neymar baby wako, Thiago Silva baby wako. Kwanini lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my Hakim is in the houseeee
Eti babra kasepa Simba?Shega tuu mtani
Paaa bingwaShega tuu mtani