Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #23,281
Kiutani utani mende anaangusha kabati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchango wake hujui!!??Ronaldo angefanya nini hapa hata kama angeanza...zaidi sana angewafanya wenzake wawe pungufu
AMBATANISHA NA HII KAULI JAPO MPIRA NI DAKIKA 90...[emoji116]Mara paap Morocco inatinga fainali [emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173]
Hata sijuii...au hizo n zaa ndaniii kabisa?Eti babra kasepa Simba?
Haya mamaNipo
You must be a lost courseMpira ni dakika 90, nimekaa pale morocco anapigwa kama ngoma
Morocco inaenda nusu fainali.
tunajivunia sana timu ya afrika.
Morroco mende?Kiutani utani mende anaangusha kabati
Na mm bebi wake usituonee gere bhanaWe dada vana, mbona mashemeji wamekua wengi sana. Mbappe baby wako, Hakim baby wako, Neymar baby wako, Thiago Silva baby wako. Kwanini lakini?
Umesoma geographWale sio wa Afrika
AnajindugulishishaWale sio wa Afrika
😂😂😂😂 kila team na babes wakeWe dada vana, mbona mashemeji wamekua wengi sana. Mbappe baby wako, Hakim baby wako, Neymar baby wako, Thiago Silva baby wako. Kwanini lakini?
Tutawalazimosha waje umoja wa AfricaPaaa bingwa
Wewe mmatumbi acha kujipendekeza kwa waarabuMorocco iko kinondoni kumbe,,,, viva Africa [emoji288][emoji288]
Mpira dk 90+ kwann ishangazwe Dunia ilihali uwezo unaonekanaAMBATANISHA NA HII KAULI JAPO MPIRA NI DAKIKA 90...[emoji116]
"Nina wasiwasi na matokeo ya leo hii yanaweza kuishangaza dunia [emoji28]"
Mbona uzi upo tayari, January ndio mwisho kuwa CEO wa mnyamaHata sijuii...au hizo n zaa ndaniii kabisa?
Nakazia alambe kwerikweri 😬Lamba glucose
Haha Konda shusha Kinondoni MoroccoMorocco iko kinondoni kumbe,,,, viva Africa [emoji288][emoji288]