Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mara paap Morocco inatinga fainali [emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173]
AMBATANISHA NA HII KAULI JAPO MPIRA NI DAKIKA 90...[emoji116]

"Nina wasiwasi na matokeo ya leo hii yanaweza kuishangaza dunia [emoji28]"
 
We dada vana, mbona mashemeji wamekua wengi sana. Mbappe baby wako, Hakim baby wako, Neymar baby wako, Thiago Silva baby wako. Kwanini lakini?
😂😂😂😂 kila team na babes wake

England badae kuna baby Mount
Ila nitakuwa kwa baby Mbappe


Dylie Giroud Mbappe Le Greazgirl
😂😂😂😂😂💃
 
Back
Top Bottom