Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
MPIRA huwa una matokeo ya kikatili sana Chifu, hujawahiona timu inaongoza takwimu za mchezo kwa kutawala kila kitu lakini inafungwa na kufeli kupiga hatua yoyote kama ilivyokuwa Brazil vs Coretia jana[emoji848]Mpira dk 90+ kwann ishangazwe Dunia ilihali uwezo unaonekana