Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Moroco wakitoboa hapa kwa Portugal basi final itawahusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi ureno baadae zote mbili nashabikiaUnashabikia ipi haswaa nikuunge mkono
Role model wao atakuwa Suarezikawabidi waudake
Simulizi tena ISIDINGO all in all una kipaji cha kueleshaKapigwa Eagle goli moja na mfumgaji ni Kyombo
Sasa muda nao andika hiyo post kulikuwa kuna shambulizi ambalo Simba walikuwa wanalifanya
Golikipa wa Eagle si akatokea ili kufanya save akajikuta kavuka kwenye eneo lake na hawezi tena kuudaka ule mpira ikabidi aubutue nje uwe wakurusha
Sasa baada ya mpira kutoka akawa anarudi golini kujipanga wakati huo nao Simba wakataka kutumia advantage kurusha fasta fasta wafunge bao kwasababu golikipa yupo mbali na goli
Simba wakarusha fasta fasta wakapiga shuti moja kwa moja golini wakati kipa bado hajafika, sasa kulikuwa na mabeki wako eneo hilo na mpira umekuja kimo cha juu ambapo hawawezi kuuzuia, so ikawabidi waudake ili kufanya save usiingie moja kwa moja kwasbabu bora iwe penati kipa anaweza kuucheza
Mwisho wa siku imewekwa penati Moses Phiri katia kamba
Ana utu na utulivu[emoji3]Huyu kipa wa Morroco naye mtu
Ureno anatolewa leo, next baada ya Ureno atakuwa Argentina.Sasa hivi ureno baadae zote mbili nashabikia
Weeeeeee wasisubutuKwani Morocco wakiamua kupark basi muda huu kuna madhara?
Mkuu mambo yenu ya simba ungeweka kunako hapa tuachie tuko kimataifa zaidi I mean duniani....B chaubaya kwabwaga manyanga huko.