Wapii unaangalizia?Morocco keshapigwa huko
Wamepigwa na kiyoyozi cha qatarHatimae morocco wamepigwa
Morocco keshapigwa huko
Acha kutumia tv ya HitachiMorocco keshapigwa huko
Unaangalia tbc au
Argentina utaota sanaUreno anatolewa leo, next baada ya Ureno atakuwa Argentina.
Nyau 😂😂Niko uwanjani hapahapa qatar
Acha kutumia tv ya Hitachi
Nyau [emoji23][emoji23]
🤣Brazil wamebanduliwa
Dk 18 bado nyingi sana wanatakiwa wajitahidi kumiliki mpiraKwani Morocco wakiamua kupark basi muda huu kuna madhara?
Dk 18 bado nyingi sana wanatakiwa wajitahidi kumiliki mpira