Hapigwi mtuNitakukumbusha baada ya hawa waarabu wa Ulaya kuwapiga hao waanjentina Dec 13
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti Bruno anaiga free kick ya Uholanzi
Tena Atuwekee ile amekaa uwanja wa macontena pale Qatar
#MauwaUmeyaonalakinπ
Furaha iliyoje πNitafurahi sana nikiona Ureno ya Ronaldo inatoka π Outπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ntamind vibayaShida refa anaweza kuongeza dk 10πππ
Nyokolo kweli huyu kipaHuyu kipa nyoko.
Roho mbaya tuRonado kakosa goal
Nimecheka cheko la hatari
Ha ha ha haaa
Hizo dakika za nyongeza huwa shubiri sana.Shida refa anaweza kuongeza dk 10πππ
AmenEeennh Mola Wangu tuone Nasi Waarabu wa Africa.
Hawachomoi kamwe na morocco wanamstaafisha ronaldo leo timu ya taifa....Portugal wanachomoa naona harufu ya extra