Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapigwi mtuNitakukumbusha baada ya hawa waarabu wa Ulaya kuwapiga hao waanjentina Dec 13
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti Bruno anaiga free kick ya Uholanzi
Tena Atuwekee ile amekaa uwanja wa macontena pale Qatar
#MauwaUmeyaonalakin😁
Furaha iliyoje 😀Nitafurahi sana nikiona Ureno ya Ronaldo inatoka 👉 Out🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ntamind vibayaShida refa anaweza kuongeza dk 10🙄🙄🙄
Nyokolo kweli huyu kipaHuyu kipa nyoko.
Roho mbaya tuRonado kakosa goal
Nimecheka cheko la hatari
Ha ha ha haaa
Hizo dakika za nyongeza huwa shubiri sana.Shida refa anaweza kuongeza dk 10🙄🙄🙄
AmenEeennh Mola Wangu tuone Nasi Waarabu wa Africa.
Hawachomoi kamwe na morocco wanamstaafisha ronaldo leo timu ya taifa....Portugal wanachomoa naona harufu ya extra