Kakosea wapi?Kocha wa Ureno kakosea
Mbona unatutikana ww mswahiliPumbavvv waarabu hawa!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ€£Daaah
Wareno wanahaingaikia kukata tickets za ndege kurudi kwao saivJamani nna rahaaaaaaaaaaaaaaa
Kumuweka Ronaldo benchiKakosea wapi?
Ronaldo analia jamani
Raha ni kwa waafrika wote. Wanaosema eti waarabu ni wajinga tu.Jamani nna rahaaaaaaaaaaaaaaa