Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilisema mwanzoni kabisa, kuwa hii WC ya safari hii imekuja kinyumenyume...
Muendelezo ndiyo huu..
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kwa Morocco 🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
Maendeleo hayana chama🤣🤣🤣🤣!

Kama namuona Ronaldoo 😎😎😎😎Anavo 😭😭😭
 
Wamrudishe bana, me sijamuona 🤣🤣🤣

Na huyu wanamtaja taja Pepe ni nani
Sasa unaweza kunipigia cm
Mwanzo ulitaka kunivurugua 😂😂😂😂

Team langu limepita banaaaa
 
Screenshot_20221210-200028_Chrome.jpg


Pain killer kaka mpaka sasa ameonekana anayekaza fuvu na kukalili ni nani.


ACHA KUKALILI,haya Morocco hao hapo nusu fainali ,acha kukalili ongelea current form ya timu husika na si history.

Nimekuwekea ujinga wako uusome vizuri.
 
Back
Top Bottom