Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ureno wamefanya jambo la maana sana kuikimbia dhahama yetu Wafaransa maana tuna deni nao la EURO 2016
 
Kelele za mashabiki wa Messi sasa zianze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Semeni wenyewe mapema, mnahamia timu gani nyinyi msiompenda Messi? Maana msiba unawafuata kila kona!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tulisema kbs hawa Morocco ni wabaya leo wamezid kushangaza watu..

Tulisema asipolewa sifa semi anacheza na kwl kacheza.

Washabik wa cr7 ss mtulie kama mnanyolewa Mnachoweza kufny kwa sbb ni kushabikia kwa nguvu zote kila. Mpinzan wa Argentina [emoji23]

Vamoooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Back
Top Bottom