ubishoo madoido na kutafuta kiki havina nafasi Qatar. Sasa hivi kila mtu atakuwa na adabu. TutaheshimianaHili kombe litabebwa na timu yenye kujituma sio ubishoo.
Jamani nna rahaaaaaaaaaaaaaaa
Chizi sana yule kocha na akitoka hapo aachie ngaziHaya sasa kocha afurahi kuweka bifu na G.OA.T
Ubishoo gani tena jamani?hahahaaaaMuda wake umeisha, kombe la Dunia halihitaji ubishoo.
No thank youNikutoe out?
Nipo nimetulia, nasubiri mbuzi wa ukweli afike fainaliKelele za mashabiki wa Messi sasa zianze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23]Hii mechi 1-1 then tunaenda extra time
Cant wait wallaqhSasa bado kumuondoa Messi na Argentina yake
Semeni wenyewe mapema, mnahamia timu gani nyinyi msiompenda Messi? Maana msiba unawafuata kila kona!Kelele za mashabiki wa Messi sasa zianze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kocha alizingua sana na hilo anajutia sanaHaya sasa kocha afurahi kuweka bifu na G.OA.T
Jana ilikuwa zamu ya neymar kulia leo ni zamu ya Christiano Ronaldo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anakutana na MfaransaMorocco anakutana na nani nusu fainali?