Mshindi Kati ya England na FranceMorocco anakutana na nani nusu fainali?
Aya mrudi nyumbani sasaTimu Portugal tumejaa tele tumejiandaa sawa sawa kuwafunga warabu koko wa africa
Nenda sasa huko extra time, sisi tayari tushamaliza mchezo.Tunaenda extra time subirini muone
France au EnglandMorocco anakutana na nani nusu fainali?
Maendeleo hayana chamaπ€£π€£π€£π€£!Nilisema mwanzoni kabisa, kuwa hii WC ya safari hii imekuja kinyumenyume...
Muendelezo ndiyo huu..
Mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ kwa Morocco π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦
Ufaransa naye akae vzr kwa England kwanza halafu hata kwa Morroco asipokuwa makini atachezea wanajuana wale majiraniUreno wamefanya jambo la maana sana kuikimbia dhahama yetu Wafaransa maana tuna deni nao la EURO 2016
Jamani nna rahaaaaaaaaaaaaaaa
Jidanganye tu kwa muingereza tu hampenyi
Sasa unaweza kunipigia cmWamrudishe bana, me sijamuona π€£π€£π€£
Na huyu wanamtaja taja Pepe ni nani
Pumbavvv tena nyie waarabu!!Mbona unatutikana ww mswahili
Ramli chonganishi [emoji23][emoji23][emoji23]Acha tuumie tumeipenda wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila nyie ufaransa leo litawakuta Jambo ......tupo hapa hapa
Msiba gani wakati kombe ni letu Ufaransa.Semeni wenyewe mapema, mnahamia timu gani nyinyi msiompenda Messi? Maana msiba unawafuata kila kona!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kocha amesaidia kupunguza idadi ya magoli...Penaldo angeaza ureno wangekufa nyingiKocha alizingua sana na hilo anajutia sana