Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nimekupoteza [emoji22]
 
Sasa unaweza kunipigia cm
Mwanzo ulitaka kunivurugua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Team langu limepita banaaaa
Sitaki, umenipigia kelele muda ule sikio langu linauma

Ronaldo alikua analia maskini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kama kuingia kwenye nyumba ya popo bawa usiku wa Giza, ukikaa vibaya umeliwa
Argentina Jana chupuchupu
 
Naomba sanamu lako lijengwe humu JF Joseph 1989 kwa kufukua kaburi la Mchambuzi uchwara wa soka TZ [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…