Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnafukua makaburi na kuzitazama upya risitiView attachment 2442134
Pain killer kaka mpaka sasa ameonekana anayekaza fuvu na kukalili ni nani.
ACHA KUKALILI,haya Morocco hao hapo nusu fainali ,acha kukalili ongelea current form ya timu husika na si history.
Nimekuwekea ujinga wako uusome vizuri.
Kwapa atanyanyua Mbappe!Mpira unadunda Messi anaweza nyenyua kwapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbavvv tena nyie waarabu!!
Wachezaji wao wakubwa wameumia ila bado wana uwezo wa kubeba kombeHawa Morocco wakiendelea kucheza tena mchezo wa aina hii kwenye hatua ya nusu fainali, basi fainali inawahusu!!
Nimekupoteza [emoji22]Nipo nipo. Si unajua tena amka za weekend na hangover za Burazili jana. Naamka nakuta game ishaanza, nikazama kwenye TV hata nisiwaze kuingia huku kwanza. Hapa furaha kama yote. Viva Morocco, Viva Africa. Kilichonifurahisha zaidi ni Ronaldo naye kulia. Angelia na Messi jana ingekuwa poa sana.
Tangu mtoano uanze,Kwenye hii wordcup sidhani kama kuna aliyekula ela ya muhindi
.Morocco bado sana kwa ureno pengine anahitaji bahati zaidi kuliko uwezo...
Anapelekewa moto hatari
Sitaki, umenipigia kelele muda ule sikio langu linaumaSasa unaweza kunipigia cm
Mwanzo ulitaka kunivurugua ππππ
Team langu limepita banaaaa
CROATIA win vs Brazil
Netherlands lose to ARGENTINA
France lose to ENGLAND
MOROCCO win vs PORTUGAL.
Yaani Messi tu ndio bahati yake japo naye siku yaja.Jana ilikuwa zamu ya neymar kulia leo ni zamu ya Christiano Ronaldo π€£π€£π€£π€£π€£
Morocco mpaka sasa hajafungwa goli loloteUfaransa naye akae vzr kwa England kwanza halafu hata kwa Morroco asipokuwa makini atachezea wanajuana wale majirani
Ni kama kuingia kwenye nyumba ya popo bawa usiku wa Giza, ukikaa vibaya umeliwaNilisema mwanzoni kabisa, kuwa hii WC ya safari hii imekuja kinyumenyume...
Muendelezo ndiyo huu..
Mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ kwa Morocco π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦π²π¦
Naomba sanamu lako lijengwe humu JF Joseph 1989 kwa kufukua kaburi la Mchambuzi uchwara wa soka TZ [emoji1787]View attachment 2442134
Pain killer kaka mpaka sasa ameonekana anayekaza fuvu na kukalili ni nani.
ACHA KUKALILI,haya Morocco hao hapo nusu fainali ,acha kukalili ongelea current form ya timu husika na si history.
Nimekuwekea ujinga wako uusome vizuri.
Ina matokeo ya kushtukiza Sana[emoji28]Mbona hii wedi kapu nakuwa msindikizaji?