Chizi sana yule kocha na akitoka hapo aachie ngazi
Kocha alizingua sana na hilo anajutia sana
Pumbavhhhh nyie Ureno 😂🤣🤣🤣🤣Pumbavvv tena nyie waarabu!!
Yah ni kweliFootball ipo hivo mwili ukishapata moto unafanya chochote
Wapambanaji- morocco +croatiaWorld cup ni kwa ajili ya wapambanaji, wababe na wahuni. Sio mabishoo kama Brazil.
Tulipoanza mtu akikaza shingo huwa namjibu tu mpira 90 ndo zinaamua.Hatoboi kwa wajeda wa Croatia
HurumaaaAmerudi analiaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana katoa machozi Neymar.
Leo katoa machozi Ronaldo.
Kesho atatoa machozi Andunje.
maandiko yanasema kila super star atalia kwa uchungu.😂😅
Game ilishakuwa compact, Morocco walishapata goli na hawakuwa na cha kupoteza zaidi ya kukaa nyuma na kusubiri nafasi zao. Hawa waarabu tayari wanacheza compact game, ten men behind the ball, wana discipline kuanzia kipa hadi namba 11. Unamuingiza Ronaldo afanye nini tena.Mbona kapewa dakika nyingi Sana na kachemka?
Safari yake inaishia saa nne#itscominghome
Kumbe ndo maana sijibiwi text zangu, hata kufungua hufungui...Baby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo 😂😂😂💃View attachment 2442139
ANDUNJE ALISHALIA SANA hadi akastaafu soka la kimataifaJana katoa machozi Neymar.
Leo katoa machozi Ronaldo.
Kesho atatoa machozi Andunje.
maandiko yanasema kila super star atalia kwa uchungu.😂😅
Real recorgnize real babyyyy
Hawa wote watupisheSasa bado kumuondoa Messi na Argentina yake
Am not proud for people who never accept themselves being AfricansAFRICAN WE'RE PROUDLYView attachment 2442136
🤣🤣🤣 abee boss umeniita??Real recorgnize real babyyyy