Yeye alikuwa benchedJaman tunasafirisha leo au kesho?
Maana sio kwa aibu hii ya [emoji238] wa kireno
Majuto ni mjukuuIla leo pamoja na kufumuliwa Ronaldo kacheza vizuri. Kuna shida ya makocha kuwaamini baadhi ya watu. Wangeanza Rafael Leao na Cancelo wallah matokea yasingekuwa hivi.
Jaman tunasafirisha leo au kesho?
Maana sio kwa aibu hii ya 🐐 wa kireno
Nadhani hukuusoma mchezo vizuri mkuu, high balls, cross balls zote zilikuwa threat kwa sababu ya yeye kuwa pale mbele. Portugal walicheza long balls kipindi cha kwanza coz hawa waarabu ni wagumu ku-break, angekuwepo CR7 kungekuwa na kitu...Amefanya nn alipoingia? Alikuwa anaruka ruka na kupoteza mipira.
Angepoteza poteza hivo kipindi cha kwanza kipindi lions wa atlas wana nguvu, wangefanya kaunta nyingi zaidi na kufunga zaidi
Unamwachaje Rafael leao , huyo dogo ni machine , kocha ni kiaziIla leo pamoja na kufumuliwa Ronaldo kacheza vizuri. Kuna shida ya makocha kuwaamini baadhi ya watu. Wangeanza Rafael Leao na Cancelo wallah matokea yasingekuwa hivi.
Subiri nimalize kushangilia basi 🤣🤣🤣🤣Kumbe ndo maana sijibiwi text zangu, hata kufungua hufungui...
Futseke zenu waarabu!!Pumbavhhhh nyie Ureno [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu na wewe kumbe ulikua unageuza lapa au kiatu au kufunga fundo nguo ili wale wanamazingaombwe washindwe kufanya yao kipindi cha shule ya msingiJana katika mechi ya kwanza timu ya kwanza kuandikwa yaani Croatia akafuzu.
Mechi ya pili timu ya pili kuandikwa ikafuzu ambayo ni Argentina.
Leo tena formula inajirudia vilevile...Ufaransa anafuzuView attachment 2442146View attachment 2442150
Waarabu wamepindua mezaFutseke zenu waarabu!!
Nakula saivi usinisumbue 😂🤣🤣🤣 abee boss umeniita??
Naenda barabarani kupokea mzigo wetu kutoka kwa mke mwenza
Utanipigia unisindikize
Nimekaa paleee
Ila leo pamoja na kufumuliwa Ronaldo kacheza vizuri. Kuna shida ya makocha kuwaamini baadhi ya watu. Wangeanza Rafael Leao na Cancelo wallah matokea yasingekuwa hivi.
Timu france piteni hapa tuandike majina tenu tujuane. Hatutaki mamluki tukishashinda...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sina chupi
Labda uniazime yako
Mpuuzi huyu anakalili bila kuangalia current form ya timu husika,comment yake niliiweka nikisubiria siku husika.Naona mnafukua makaburi na kuzitazama upya risiti
Kiufupi kocha kazingua na ndo maana alikua na hali ngumu wakati timu iko nyuma kwa goliHafai kabisa. Alikua anaenda na mseleleko wa bila wewe tunaweza akasahau ushirikiano na uzoefu pia unaweza ibeba timu
Kocha ni kweli anaeza kuwa kiaziUnamwachaje Rafael leao , huyo dogo ni machine , kocha ni kiazi