Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Na huko huko camera zimemfumaKaenda kulilia chumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huko huko camera zimemfumaKaenda kulilia chumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana sub ya uholanzi(weghorst) kapiga goli 2 baada ya kuingia. Sasa huyo wako kacheza zaidi ya dk. 30, kama ana maajabu mbona hajafunga goli. Kubali tu ashaisha huyo hana maajabu.Yeye alikuwa benched
Ngoja uone Walker anavyotembezwa na Mbappe, lazima atoe ulimi nje kama mbwa leo.Nipo Ufaransa ila Uingereza watawapa shida hawa wafaransa.
Mbappe na wenzake wasipokaa vizuri watapigwa na kitu kizito
Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.Hawa Morocco wakiendelea kucheza tena mchezo wa aina hii kwenye hatua ya nusu fainali, basi fainali inawahusu!!
Nilikutag siku ile kwenye ile link aliyopost mdauInaoneshwa ila inakwama kwama sana, kama una source nyingine ya kuangalia hii mechi ni heri ukaitumia hiyo hiyo Chifu.
Maumivu juu ya maumivu🤣🤣🤣Aanze tu😁, Vijana wake wa england lazma wawahi ndege kesho asubuhi 💪
Mda ni msema kweli...tusubiri tuoneNgoja uone Walker anavyotembezwa na Mbappe, lazima atoe ulimi nje kama mbwa leo.
😂😂😂sawa bossNenda kaicheki nikishiba nakupigia unipe feedback
Kaka Morocco bado wanaendelea kukamilisha ratiba?Nakubali kwenye group stage morocco amepafom vizuri sana
Ila kipimo cha mechi kubwa ilikuwa Croatia
Ubelgiji ni km walikuja kukamilisha ratiba tu
France out broKwapa atanyanyua Mbappe, ngoja uingreeza nae achakazwe usiku huu.
HeeeeNakupigia simu hupokei..kumbe upo Jf unajivinjari..
Me and you we're done.
Dalot tunamfahamu sanaYule Dalot cross zote anampa kipa kocha kaja kushtuka muda ulishaisha
Bado nina tumaini kama si France basi Argentina anabeba. Time will tell...Keka limeshachanika bantu!!
Nisiwe mnafki zote nazipenda kwakweliMsiopenda tabu tunawaona tunawaona...[emoji1787]
Chagua moja... ukifurahi unafurahi kweli, ukilia unalia kweli, kama anavuolia lonado leo
Kaka vipi?Hawatoki kwa Spain trust me.
Kwanini haujibu mesej zangu?Baby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]View attachment 2442139
Akikujibu ntagKaka vipi?
Umeongea point sanaMechi ya sa4 nataka eng ashinde
Morroco ataweza kuwamudu eng ila sio france
Usiniambie Mama la Mama, nisije kujikuta niko PM nione unavyopata hizo raha [emoji16]Jamani nna rahaaaaaaaaaaaaaaa