Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yeye alikuwa benched
Jana sub ya uholanzi(weghorst) kapiga goli 2 baada ya kuingia. Sasa huyo wako kacheza zaidi ya dk. 30, kama ana maajabu mbona hajafunga goli. Kubali tu ashaisha huyo hana maajabu.
 
Nipo Ufaransa ila Uingereza watawapa shida hawa wafaransa.

Mbappe na wenzake wasipokaa vizuri watapigwa na kitu kizito
Ngoja uone Walker anavyotembezwa na Mbappe, lazima atoe ulimi nje kama mbwa leo.
 
Hawa Morocco wakiendelea kucheza tena mchezo wa aina hii kwenye hatua ya nusu fainali, basi fainali inawahusu!!
Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.
 
Yule Dalot cross zote anampa kipa kocha kaja kushtuka muda ulishaisha
Dalot tunamfahamu sana

Huwa watu wanamsifia ila sijawahi ona kapiga cross yoyote pale man utd zaidi ya kupaisha au kupata kona

Leo kacheza kama tunavomjua

Kocha amezingua...wampe timo Morinyo tumuone International stage
 
Back
Top Bottom