OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hawa Moroko watatishangaza aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na majeraha waliyopata yapo katika condition gani, kama ni ya muda mrefu basi itakuwa pigo kwaoFirst 11 players wa Morocco wameumia leo hii akiwepo Captain wa timu, vipi kuhusu next mechi, haitawagharimu Morocco kimatokeo [emoji848][emoji28]
Kuna ma handsome hapo ndaniNijikute 🤣🤣🤣
Saa 4 kasoro kitanda kinaniita
Tusubiri ..Uingereza anaweza kula goli nyingi leo
Si ndio kama huyo takataka hapo juu 😂😂😂Kumbe Andunje naye ana misukule [emoji848][emoji3]
Unitumie picha nitazikuta keshoKuna ma handsome hapo ndani
Eeeh tupooo!🤣🤣Kuna ma handsome hapo ndani
Sifanyi hiyo kaziUnitumie picha nitazikuta kesho
Hawa jamaa bado ni unbeaten mpaka Sasa na wamefungwa goli moja tu....usiwadunishe Sana.Ni vile bahati haikuwa yao. Lakini Morocco kashambuliwa sana
Shukrani Bosi kwa uchambuzi mahiri kabisa, ngoja tusubirie updates maana nimemskia Dr Licky akidai yule Captain wa Morocco ndiye aliyekuwa anajua kupanga sana wachezaji kiuchezaji, ndiyomaana alipoumia tu Morocco iliyumba kiaina ktk mchezoInategemea na majeraha waliyopata yapo katika condition gani, kama ni ya muda mrefu basi itakuwa pigo kwao
Ila kama ni ya muda mfupi basi huwenda juma 4 hapo kila mmoja akawa ame recovery
Moroko akikutana na France ndio basi tena hatunaye!Inategemea na majeraha waliyopata yapo katika condition gani, kama ni ya muda mrefu basi itakuwa pigo kwao
Ila kama ni ya muda mfupi basi huwenda juma 4 hapo kila mmoja akawa ame recovery
Kiweri weri chakwe kakaKane anaanza! Yetu macho.
Dar tuna AC, hivi unatuonaje watu wa Dar?🤣🤣🤣Kuna joto aseee
Hivi Dar si mnaungua?