ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Uingereza hana mpira huo mkuu!France out bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uingereza hana mpira huo mkuu!France out bro
Kabla ya hapo inaandika Open with package installer?Cheki hapa
Inatakiwa ifunguke hivi, halafu ubofye hapo kwenye download anyway
View attachment 2442200
Ushawahi kuona France wana makeke yoyote kwenye hii michuano?Naanza kuwa na wasiwasi na France. Timu zenye makeke mengi hazijafika mbali mf. Brazil, Portugal, USA, Hawa kina mbappe wasipojiangalia watatoka leo. Mpira hauhitaji makelele mengi bali utu na utulivu
Wapi?Natabiri fainali kuwa ARGENTINA V/S PORTUGAL.. nimekaa pale [emoji1485]
Ndio, wala hujakoseaKabla ya hapo inaandika Open with package installer?
Poa poa Kaka.Ndio, wala hujakosea
Mkuu amka hiyo ndoto ni mtegoUingereza leo anafurushwa
Mwanzo jukwaa lilitulia vizuri
Kwanini aingizwe baada ya kufungwa?Dk 45 za pili alizoingia alifanya maajabu gan?
Wanna see him🤣🤣🤣
Tena em nimpigie tutete jambo kabla hajalala, una ujumbe wowote nimfikishie?
Wanna see him🤣🤣🤣
Tena em nimpigie tutete jambo kabla hajalala, una ujumbe wowote nimfikishie?
Ajentina lia lia 🤣🤣🤣🤣Ajentina lia lia
Yule dogo namba 8 wa Morocco anacheza klabu gani?
Amekichafua kila mechi hasa game ha leo