Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kayoka


1670695473272.png
 
Kwakuwa England walitupa uhuru bila fujo basi leo nawashabikia.. Ila wangejichanganya tukauchukua uhuru kwa ngumi leo wasingenieleza kitu..

Wajukuu wa malkia tujuane mapema. Sipokei shabiki wa baada ya kumpiga Mbape goli 1
 
Naanza kuwa na wasiwasi na France. Timu zenye makeke mengi hazijafika mbali mf. Brazil, Portugal, USA, Hawa kina mbappe wasipojiangalia watatoka leo. Mpira hauhitaji makelele mengi bali utu na utulivu
Ushawahi kuona France wana makeke yoyote kwenye hii michuano?

2016 EURO ndio France ilikua na makeke wakatayarishs mpaka gari la kutembezea kombe mtaani mwishowe wakaangukia pua

Ila 2018 France iliingia kimya kimya akachukua mwali

Nations league pia imeenda kimya kimya ikabeba mwali

Mwaka huu pia hakuna kelele zozote kutoka kwa timu ila hayo makeke ni yetu mashabiki sio wachezaji, tofautisha na England Brazil Portugal hata Argentina pia
 
Yule dogo namba 8 wa Morocco anacheza klabu gani?

Amekichafua kila mechi hasa game ha leo
 
Natamani Hii Game Inayokuja Atangaze Drury, Hasa Pale Maguire atakaposhinda.
 
Back
Top Bottom