technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
France tujuane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mama nimekuelewaJana sub ya uholanzi(weghorst) kapiga goli 2 baada ya kuingia. Sasa huyo wako kacheza zaidi ya dk. 30, kama ana maajabu mbona hajafunga goli. Kubali tu ashaisha huyo hana maajabu.
France ni chama letu wale Niggers "ngozi nyeusi wa Ulaya" tupo wa kutosha sana tu Chifu [emoji1732][emoji1]France tujuane
Nisamehe mama, mie nilidhani ulikuwa unashobokea wajukuu wa Vasco Da Gama kumbe sivyo.Weee me nilitangaza nia mapema kabisa ya uzalendo kwanzaaa Africa first
Tunawagonga leoTupoooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah ila morroco naanza kuamini amini kuwa uwenda awa sio waAfrica.
Yaani mechi ya jana imeniuma mno
Sijachanganya mkuu ni uzi huu mkali Dunia nzima ,naweza kuweka screenshot nikiwaDm maduka makubwa dar kote mzigo umeisha wameagiza mwengine ,na tokea Greatest Of All Time alipoanzisha uzi wa Jezi za Kombe la Dunia niliutabiria makubwa huu uzi na kusifia leo unapeta..Kuna jamaa adriz naona alidhania ni Morroco wenye hizi jezi
Glucose tena.Lamba glucose
SawaKama unajua mpira basi utakubaliana na mimi ya kwamba Ureno walipata uhai baada ya Christiano kuingia
Uholanzi ya jana?Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.
Portugal alishawahi kufika nusu fainali kombe la dunia wala isingekuwa kitu cha kuishangaza dunia, Morocco ndiyo timu ya kwanza Africa kutinga nusu fainali kombe la dunia.Hukujiamjn,sentensi yako ilikua tata,hukuspecify nan atatushangaza, so basically hamna mashiko hapo
Kuingia nusu fainali ni ushindi tosha tayari...Utabiri wangu umetimia.Mungu ni mwema. Morocco anaenda KUTOLEWA katika nusu fainali ili MACHINGU na KILIO chao kiwe KIKUBWA ZAIDI.Rest in peace MOROCCO [emoji120]
Ni vile bahati haikuwa yao. Lakini Morocco kashambuliwa sanaSawa
Sasa huo uhai mbona haukuzaa golii??
Ni kweli walishambulia second half lakini Morocco hawakuwa wabaya pia
[emoji120] KakaNilikutag siku ile kwenye ile link aliyopost mdau