Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yote ni kufata ushauri wa Prof Ten Hag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nime mind sana, kocha alizingua na yaonekana palikuwa na shida kati yao
Jamaaa atamlaumu kocha hadi basi.
Alitakiwa amuanzishe tangu dakika ya kwanza,ili hata wakipoteza basi akose cha kumsingizia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app