Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mi nime mind sana, kocha alizingua na yaonekana palikuwa na shida kati yao
Yote ni kufata ushauri wa Prof Ten Hag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaaa atamlaumu kocha hadi basi.

Alitakiwa amuanzishe tangu dakika ya kwanza,ili hata wakipoteza basi akose cha kumsingizia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sibishani na wavuta bangi... mimi najitambua sili bangi Shoga wewe!
We mvaa chupi hiki ndo ninachokiongelea. Next time usije jukwaa hili na taarifa za vijiweni. Humu watu tunajielewa pimbi wewe
Screenshot_20221210-205012~2.png
 
Mbappe usiniangushe,nilindie heshima yangu mie psg mwenzio(Neymar). If i([emoji1054]) cnt have it no one else shoul,bora libaki kwenyu france,plz plz Mbappè

[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]
 
Nina mapenz na ufaransa pia...najua hawatatufelisha.
Japo wa Argentina wenzangu watanitaka niwaombee njaa France ili njia yetu mbele iwe nyeupeee ila mbappe na dembele siwez wasaliti. Eti nacomment negative wakat moyoni nawapenda hapana kwakweli....
Come France
Come Argentina tnou argentine comes first
Argentina mnataka kitonga sio? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hamtokipata
 
Huu ni Muda wa kushusha guiness na popcorn nasubiri game ya mabingwa
 
Naanza kuwa na wasiwasi na France. Timu zenye makeke mengi hazijafika mbali mf. Brazil, Portugal, USA, Hawa kina mbappe wasipojiangalia watatoka leo. Mpira hauhitaji makelele mengi bali utu na utulivu
Mpira wa mabishoo hauna nafasi.

Watu wa kazi na uzoefu ndo wanabeba kitu.
 
Back
Top Bottom