Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

First 11 players wa Morocco wameumia leo hii akiwepo Captain wa timu, vipi kuhusu next mechi, haitawagharimu Morocco kimatokeo [emoji848][emoji28]
Inategemea na majeraha waliyopata yapo katika condition gani, kama ni ya muda mrefu basi itakuwa pigo kwao

Ila kama ni ya muda mfupi basi huwenda juma 4 hapo kila mmoja akawa ame recovery
 
Inategemea na majeraha waliyopata yapo katika condition gani, kama ni ya muda mrefu basi itakuwa pigo kwao

Ila kama ni ya muda mfupi basi huwenda juma 4 hapo kila mmoja akawa ame recovery
Shukrani Bosi kwa uchambuzi mahiri kabisa, ngoja tusubirie updates maana nimemskia Dr Licky akidai yule Captain wa Morocco ndiye aliyekuwa anajua kupanga sana wachezaji kiuchezaji, ndiyomaana alipoumia tu Morocco iliyumba kiaina ktk mchezo
 
England anapigwa leo akishinda niite.... nimekaa pale πŸ‘‰πŸ½πŸ‘‰πŸ½πŸ‘‰πŸ½
 
Kuna joto aseee

Hivi Dar si mnaungua?
Dar tuna AC, hivi unatuonaje watu wa Dar?🀣🀣🀣

Portugal to qualify.
France to qualify.
Dadeq😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…