[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata hueleweki cc, wee n team gan kwan??Haya sasa
Mabingwa wa dunia tunaenda kulala Kwa Kishindo
Takataka yoyote mbele yetu ni kufagia tu.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]England anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
🤣🤣🤣🤣 walikua wamoto wameunguaComing home ya niookooo [emoji23][emoji23][emoji23]
England anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
Aya sasa bado nipo nimekaa pale....lete manenoEngland anapigwa leo akishinda niite.... nimekaa pale 👉🏽👉🏽👉🏽
👆🏼👆🏼👆🏼🔥🔥🔥Jana katika mechi ya kwanza timu ya kwanza kuandikwa yaani Croatia akafuzu.
Mechi ya pili timu ya pili kuandikwa ikafuzu ambayo ni Argentina.
Leo tena formula inajirudia vilevile...Ufaransa anafuzuView attachment 2442146View attachment 2442150
Oya mwambaUtakuwa wa Kwanza kunikata
Ako ka kibamia usikakate mkuu kaonee uruma 😂😂😂😂😂England anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
Dah sema usikate kwanza uone tutakacho wafanyia hawa bonjourEngland anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
Wakapumzike sasaAsanteni kwa kushiriki watoto wa malikia [emoji23][emoji23][emoji23]