Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Afu saizi jumapili maana yake England wana masaa machache ya kulala ili waanze safari

Na jumapili kunakuwaga na nyomi ya wasafiri sijui walikumbuka kufanya booking mapema??

Lakini hawawezi kuwa wazembe sehemu zote najua katika hili walijipanga
 
Endelea kukaza fuvu
Ngoja hadi lilipuke

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mtanyamaza wote
92670DEC-6E20-4EF8-8642-76EF3BA5C6B3.jpeg
 
Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba England ndio alikuwa tumaini la wengi humu

Mnajiskiaje kuona mliyemtuma aje kututuliza mmemkuta ametulia??

Mliyemtuma aje atuchore ametukuta tumeshika picha zake

Inaboa ila ndio hivyo siku zote mpira unamuheshimu fundi
 
Back
Top Bottom