Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Sub ya Saka imeua timuEngland poleni, sub kocha naye kama kakalili, Bakayo leo alikuwa vizuri sana. Nina mwanangu timu CR7, leo kabadilisha timu mara mbili na zote leo zimetoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sub ya Saka imeua timuEngland poleni, sub kocha naye kama kakalili, Bakayo leo alikuwa vizuri sana. Nina mwanangu timu CR7, leo kabadilisha timu mara mbili na zote leo zimetoka.
Aje apoze machungu yake.
Watoke tuEngland poleni, sub kocha naye kama kakalili, Bakayo leo alikuwa vizuri sana. Nina mwanangu timu CR7, leo kabadilisha timu mara mbili na zote leo zimetoka.
Leo wametoka waandamizi 🤣🤣Qatari ndo walianzaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashoga wakuu.
uzi wa live unakosaje updates😁Jomba tulia Bhasi na kingereza chako iko
Nasikia Mpira wa Kane ndio unadondoka saa hii huko Tandahimba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2442405
Raheem anaacha kuhangaika na vibaka nyumbani kwake,ati anakuja kukata mauno kwa wanaume wa kaziLeo wametoka waandamizi [emoji1787][emoji1787]
Navyowasagia England
Utadhani hapo ndani simuoni Rahim na Mount
Nakazia.Yani mtu anayeaminigi kwamba England inabeba kombe la dunia, huwa namwona kama mlemavu hivi.