Mnatishia usalama wa mashindanoWafaransa tujuane mapema sana, mwaka wetu huu
Nakazia hadi mwishoNakazia.
Bora kakosa Kane angekosa mutu mweusi kesho angejuta.
App iko clearWe uliyesema niweke hela France akipita unajisikiaje huko ulipo?
Na ndio maana niliweka app mapema kila mmoja ashuhudie kiminyo.
Sikutaka mambo yafanyike gizani
Mashoga wote wametoka sasa.. zimebaki team za real men..
Bado umekaza fuvu na muajentina wako Nyonyoma Andunje?Mnatishia usalama wa mashindano
Si alitaka kumake headlines keshoBinafsi ningemwamini kati ya Jude ama Saka apige ule mkwaju.
Sisi ndio mabingwa wateuleBado umekaza fuvu na muajentina wako Nyonyoma Andunje?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Endelea kukaza fuvuSisi ndio mabingwa wateule
Mtanyamaza wote