Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Umeandika kishabiki
sahihi 100%Argentina BINGWA
Sema walikuwa wajanja hawakuja na mabegi mengiWaamke mapema wawahi arobaini sijui hitma ya bibi Eliza[emoji16]
Yule dogo wa France anayevaa jezi namba 8 ni mzuri sana sema anacheza rafu hatarishi nyingi karibu na goli lake it's dangerous for him and his team.
Uyu andunje atastaafu bila hili kombe ..niko nimekaa pale ππ½ππ½ππ½Mtanyamaza woteView attachment 2442430
mrithi wa casemiro bernabeuYule dogo wa France anayevaa jezi namba 8 ni mzuri sana sema anacheza rafu hatarishi nyingi karibu na goli lake it's dangerous for him and his team.
Mpira sheria yake ni kwamba mshindi anatakiwa apatikane ndani ya dakika 90Uzuri wa Ufaransa hawanaga mambo ya dk 120, mtu unakandwa mapema tu ukapumzike tusichoshane ππ
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Aiseeeee we mama kumbe ni ngariba wa mikuyenge?????Oya mwamba
Nimeshaanda kisu kipo tayari hapa tayari Kwa kuchekepua Mkuyenge wako
Sogea[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Njoo sasa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tukuite nani,jichagulie jina kabisa ili tuihifazi hii comment. Ila uzuri tunakujua kwa kujiteka humu JF.Uyu andunje atastaafu bila hili kombe ..niko nimekaa pale ππ½ππ½ππ½
Watu wasikupuuze kabisa Chifu, mi niko pamoja na wewe Ndugu [emoji28]Final ni Morocco Vs Croatia
Morocco bingwa
unaleta uliver tuuπKikosi kilisheheni wananyumbu
Ila wabongo kwa kuzama mafuvu eti"Is coming home"
Wamejizima data wanasubirj akina Hendo smwawavushe[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Uchawi upo akiyanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwani maengland yamepata penati mbili π³π³π³Adventina hawana upaja wa kumtoa Croatia
Labda wapate penati mbili kama dusko lilivyowaangukia England