Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Umeandika kishabiki
5D2A856F-D93D-460F-8882-3E3359EAFDA3.jpeg
 
Yule dogo wa France anayevaa jezi namba 8 ni mzuri sana sema anacheza rafu hatarishi nyingi karibu na goli lake it's dangerous for him and his team.

Manina zake sana yule dogo nyeusi, sijui wanamwita Toshimoneni, nilipenda jinsi pale katikati palivyokuwa na ufundi na udambwi dambwi mwingi ukichombezwa pia na kijana Yuda Bellingham.
 
Kikosi kilisheheni wananyumbu
Ila wabongo kwa kuzama mafuvu eti"Is coming home"
Wamejizima data wanasubirj akina Hendo smwawavushe[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Uchawi upo akiyanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom