Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilikuwa na timu moja. Nayo leo imeaga..nami naaga.

Ila maombi yangu ni Argentina aishie hapo hapo. Asiende fainali.
Sa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?

Baada ya Argentina umejipanga kushanikia timu gani tena?

Usiseme France, huku tumejaa hatutaki mtu maana mkishaona timu nzuri hamkawii kuzitolea macho
 
Sa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?

Baada ya Argentina umejipanga kushanikia timu gani tena?

Usiseme France, huku tumejaa hatutaki mtu maana mkishaona timu nzuri hamkawii kuzitolea macho
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Post yako ndio naiona saizi

Lakini ulishindwaje kujiongeza kufata post niliyo m-quote yule mdau aliyekuwa anatoa feedback ambayo ilikuwa na link?
Ntakushtua fainali. Naona hesgoal wa US na kiherehere chao wameifunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…