SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
I can buy this prediction.
[emoji1376][emoji1376]Argentina vs France
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1376][emoji1376]Argentina vs France
Inatabirika mkuu sema suu nikuambie nani mshindiHaitabiriki
Walizani wanacheza na senegal nini 😂😂😂😂Penati mbili walipewa, moja walipata zari wakafunga
Round ya pili wakacheza katika kiwango chao cha siku zote
MtajeInatabirika mkuu sema suu nikuambie nani mshindi
Baby wako Trent mmeachana?Safi sana
Amcheke sana.
Yanajitegesha yapate penalty
Huyu refa sijui anatutakia Nini wafaransa,
Au mu Argentina huyu??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Chuki tuuUyu andunje atastaafu bila hili kombe ..niko nimekaa pale 👉🏽👉🏽👉🏽
Post yako ndio naiona saiziNisaidie link mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia Mpira wa Kane ndio unadondoka saa hii huko Tandahimba.
Jamaa biingwa la kupaisha yaani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwaambiaga watu kuwa muhindi sio mjinga kiivyo kama ambayo mnaaminishiana vijiweni
Haya sasa familia inaenda kushinda na njaa kwa uzembe wako
Hivi rais wa Croatia bado ni yuleyule mwanamke?Ufaransa ataingia fainali ila atafungwa na croatia
Utanena yoteeNajiondoa Rasmi Uingereza, mpaka pale Kane atakapostaafu mechi za Kimataifa.
Mshenzi. Anatazama juu kuwaangalia warembo. Mbwa.
Sa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?Nilikuwa na timu moja. Nayo leo imeaga..nami naaga.
Ila maombi yangu ni Argentina aishie hapo hapo. Asiende fainali.
Nyie watu wa Vamoooss dawa yenu inachemkaSemi Final
Croatia vs ARGENTINA
Morocco vs FRANCE
FINAL
ARGENTINA vs France
ARGENTINA 🇦🇷🏆
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]Sa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?
Baada ya Argentina umejipanga kushanikia timu gani tena?
Usiseme France, huku tumejaa hatutaki mtu maana mkishaona timu nzuri hamkawii kuzitolea macho
Ntakushtua fainali. Naona hesgoal wa US na kiherehere chao wameifunga.Post yako ndio naiona saizi
Lakini ulishindwaje kujiongeza kufata post niliyo m-quote yule mdau aliyekuwa anatoa feedback ambayo ilikuwa na link?
Cheki post nilizokuwa nam-quote yule mdau utaiona tu post niliyoambatanisha linkNtakushtua fainali. Naona hesgoal wa US na kiherehere chao wameifunga.