joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Umetania wakati umeweka na "" kabisa na kunitag.Kwani hujaelewa kama nimetania au ni sles za kufungwa?
Au ulibeti?
Vamoooos Messi the GOAT
Maana bila hivo nyie hamtulii nawafahamu
Vamooooooooos Argentina.....π₯π₯π₯ Mtakufa kwa chuki huku Messi akiinua kombe.Nyie watu wa Vamoooss dawa yenu inachemka
Wamewanyima mablack kupiga penati sasa mzungu mwenzao kapaisha na mpaka muda huu hali ya anga haijatulia kwani mpira bado upo angani.Kulia kweli kwa zamu WC...
England zamu yao leo hawatamsamehe Kane...
Sasa kuweka """ kuna uhusiano gani na kuwa serious??Umetania wakati umeweka na "" kabisa na kunitag.
Si wengine mpira tuna ujua na tuna uheshimu hatuongeagi vitu hovyo ovyo.
Kombe ataliinua Messi, hata mbappe anatamani iwe hivyo.Shida ni kuona akinyanyua kwapa?
Msubiri akipiga mwayo au akijinyoosha
Lile kombe lina mwenyewe tena kaeni mbali nalo kabisa
Najionea hapa unavyokiri kwa maandishi yako. Hongera kwa kuwa muungwana na kufahamu Messi ndio mwenye kombe.Vamoooos Messi the GOAT
Utabadilisha timu mpaka ukome ila hakuna timu ambayo ikipewa nafasi ichague mpinzani wakucheza naye ikachagua FranceMatako yako morroco atacheza na ufaransa akijua anacheza na ngombe nyeusi tu
Nimekuuliza wapi nilipo andika,unazunguka kama dawa ya mbuSasa kuweka """ kuna uhusiano gani na kuwa serious??
Kwani wapi nimetilia shaka ujuzi wako wa mpira?
Nani kakuuliza kama unajua mpira au la?
Mbona kama unajishtukia?
Sasa mbona umeikata post yangu?Najionea hapa unavyokiri kwa maandishi yako. Hongera kwa kuwa muungwana na kufahamu Messi ndio mwenye kombe.
Maneno gani kwanza?Nimekuuliza wapi nilipo andika,unazunguka kama dawa ya mbu
"France leo hachomoki hata kwa dawa ".
Hayo yote yalianzia sababu ya umama wa hapo juu πππ.
Wewe nionyeshee hiyo comment, then mimi nitajibu hayo maswali yako.
Mimi sijishtukii bali sipendi UZUSHI ULIO ANDIKA humu kwa kutag mimi.
"France leo hachomoki hata kwa dawa ".Maneno gani kwanza?
Hayo hapo juu uliyoandika wewe ukiuliza nani aliyeandika?
Pongezi zangu nilizielekeza kwenye ule ukiri wako.Sasa mbona umeikata post yangu?
Napenda sana mfikie hatua hiiTuliza kinyeo mke wa cr7
We utakuwa directorPongezi zangu nilizielekeza kwenye ule ukiri wako.
Sasa hapo kaandika nani?"France leo hachomoki hata kwa dawa ".
Kwai haya aliandika nani?ππ
Ndio maana nikasema ni onyeshe nilipo andika humu JF,hii kauli.Sasa hapo kaandika nani?
Au unataka kusema mimi nime hack aacount yako nikaandika hivyo?