Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

France ni wamoto kila idea.
Moroco wana maswali ya kujibu ila sio kinyonge Fainali ni Argentina dhidi ya Morocco.
#Team Messi10.
Morocco out
Morocco out
Africa tusishabikie hao watu
 
Haziwezi kufunguka sababu ya uzushi wako, kama mpira hujui bora "ukacheza mdako na kina mama " na si kuzushiana habari za kipuuzi ambazo sija andika.
Sasa kama unajua haziwezi kufunguka huku ukijua sababu inayosababisha zisifunguke ni nini, kwanini sasa ulizituma?
 
Kama unahisi umeshaona Maajabu yoote ya Mpira wa miguu, Endelea kufuatilia Huu mtifuano huko Quatar.
 
France 2
England 1.
Sipendi kuiona france ikichukua tena hili kombe kwa mara ya 2.nawaombea croatia wawe no safari hii
 
Nusu fainal Croatia 2-1 Argentina 1
Nusu Fainali Morocco 1- France 0
Au wanaweza enda matuta but other things remains constant wataishia 1-0 ushindi wa Morocco

Alafu Fainali itakuwa

Morocco 2-Croatia 1 Fainali

Morocco mshindi
 
Back
Top Bottom