Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Utabadilisha timu mpaka ukome ila hakuna timu ambayo ikipewa nafasi ichague mpinzani wakucheza naye ikachagua France
Hakuna!!!!
Sio Morroco sio Adventina, hakuna ambaye yuko tayari kukutana na France kwa hiari yao
Hii imewakuta tu wamwpangwa na hawana namna inabidi tu wacheze ila ingekuwa hiari yao hakuna ambaye angethubutu kuchalenjiana na mfaransa
Nusu fainal Croatia 2-1 Argentina 1
Nusu Fainali Morocco 1- France 0
Au wanaweza enda matuta but other things remains constant wataishia 1-0 ushindi wa Morocco
Alafu Fainali itakuwa
Morocco 2-Croatia 1 Fainali
Morocco mshindi
Wale haters wa Morocco mmesha hamia France au bado mnajishauri?
Niliwaambia kua Spain atakula kichapo mkabisha,akapiwa mkahamia Portugal,napo mkapaza sauti kua Morocco atatolewa na Portugal,haikutokea,Porugal nae kala kichapo kitakatifu.
Hivi kwann kwenye hii michuano wahudhuriaji Sio wengi ukilinganisha Na michuano iliyopita?
World cup hii timu zilizo na kiwango kizuri zaidi kwa upande wangu ni
England
France
Netherlands
Wengine wote hamna kitu ni njia na makundi waliyopitia yamewabeba tu
Upande wa mchezaji mmoja ni messi maana kaibeba sana timu yaani yeye ndio engine ya Argentina
Alisikika mlevi flani kutoka ubanda.Morocco vs France :Morocco Out [emoji3][emoji3][emoji16][emoji848]
Mchizi boti niambie unaitakia ubingwa timu gani?Aya sasa bado nipo nimekaa pale....lete maneno
Kumbe we mtoto mchele mchele!!!Moroko bye bye hatuna cha msalia mtume sisi.
Kweli ushabik ni kama kilevi tu....![emoji849][emoji849][emoji849]Utakufa kwa chuki kijana. Kombe la Messi hili bila wasiwasi wowote. Tena england ndio nilikuwa nawahofia maana kuna historia fulani.
Baada ya england kufurushwa basi ni raha mustarehe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usitupangie bana..,!! Katu sishaikii mkoloni.......bora nimshabikie mtoto wa kambo (morocco) kuliko hayo mabeberu yenu....!! Nyie ndio mnaleta ukolon mambi leo[emoji90]Morocco out
Morocco out
Africa tusishabikie hao watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi ya utabiri ni ngumu.kuna mtu alisema final ni Moroco Vs France wakati izo timu zinakutana nusu fainali.
Hao wanamchukia Messi ndio maana wanaruka na kila timu wanayohisi itamfunga Argentina.Wewe si mshabiki wa Brazil imekuaje upo France?? Nyie ndo hamna tofauti na malaya[emoji23][emoji23]
Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usitupangie bana..,!! Katu sishaikii mkoloni.......bora nimshabikie mtoto wa kambo (morocco) kuliko hayo mabeberu yenu....!! Nyie ndio mnaleta ukolon mambi leo[emoji90]
Umelogwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] team mbeleko ifike huko.....!! Argentina ilionewa huruma ule mpira alioshika messi ilitakiwa RED directly na pale messi angetoka Argentina angekufa...!! All in all sishabikii mabeberu mm...!! Penat ya jana England maafricast wakanyimwa akapiga pure akakosa upuuz mtupu....!!Fainali ni Argentina vs Morocco
Aamke mapema asije akajikojolea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaota ndoto nyevu asubuhi asubuhi hii, amka ufue mashuka ayo
Mkuu mimi ni Mwarabu naishi Dubai ndio kwetu KWA sasa nipo Qatwar nakula tende na maziwa ya Ngamia.Morocco out
Morocco out
Africa tusishabikie hao watu