Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jaman naomba kuuliza hapa naona ,imebaki team nne lakin mechi zipo nne how???
 
Imethibitishwa rasmi kuwa ndege ambayo Engalnd walitakiwa kuondoka nayo haina mafuta ya kutosha

So itawabidi wawasubiri Argentina ili waondoke pamoja

1670744472202.png
 
Mkuu,Qatar walilalamika kwa FIFA kua kuna uhuni unaendelea ili kuonyesha kua wahudhuriaji sio wengi,kuna "Watu" wananunua tiketi nyingi ambazo hazitumiki kuingilia viwanjani,lengo lao ni kuonyesha kua mechi hazina wahudhuriaji wengi,
Tiketi zinauzwa zote ila wahudhuriaji ni wachache.
Basi kama Ni kweli nimeamini mabeberu Sio watu wazuri naona wamedhamiria.
 
Imethibitishwa kuwa ndege ambayo Engalnd walitakiwa kuondoka nayo haina mafuta ya kutosha

So itawabidi wawasubiri Argentina ili waondoke pamoja

View attachment 2442686
Hizi kelele ndio huwa zinawaponza. Mlianza kelele kwa Brazil, sasa hivi wapo kwao wanaangalia "wedikapu" kwenye TV kama sisi wamatumbi. Mkahamia kwa waholanzi, sasa hivi wapo kwao hawataki hata kusikia neno "Argentina". Mkahamia kwa Ronaldo na Portugal yake, naambiwa mpaka sasa amelia machozi ya kujaza majagi tisa!

Ila hamchoki, mmeahamia kwa Modric. Wanasema kusikia kwa kenge ni mpaka atoke damu. Nitakua hapa jumanne kukusanya mapovu yenu!

Sisi wa-argentina wa Namtumbo na Tandahimba, hatuna wasiwasi na team yetu. Ndio maana unaona tumetulia nayo tangia mwanzo.

Pira bisibisi, pira kiwiko, pira mieleka, pira panya road. Sisi ndio kiboko yenu mabishoo!
 
Back
Top Bottom