Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Hao Argentina ili wakutane na France wamfunge Croatia kwanza kama wanawezaNawaonea huruma Argentina wakikutana na hawa Wababe wa Ufaransa.... any way any team yoyote inaweza shinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Argentina ili wakutane na France wamfunge Croatia kwanza kama wanawezaNawaonea huruma Argentina wakikutana na hawa Wababe wa Ufaransa.... any way any team yoyote inaweza shinda
Unaota ndoto nyevu asubuhi asubuhi hii, amka ufue mashuka ayoMorocco kazi yake hapo Qatar ni kutuchapia tu magiants.
Spain [emoji633] - kaliwa kichwa
Portugal [emoji1201] - kaliwa kichwa
France [emoji632] - nae ataliwa kichwa
Finally ni Argentina [emoji1033] vs Morocco [emoji1173]
Kina Otamendi na Akunya wakizingua kombe linakuja Africa kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa dunia.
Endelea kuchambua tembele kaka [emoji23][emoji23][emoji23]Nyie tutawaona kama blacks tu wa uganda
Nyie tutawaona kama blacks tu wa uganda
Umemsahau na Belgium [emoji1045] kwenye group stage. Croatia [emoji1082] pia shughuli aliiona.Morocco kazi yake hapo Qatar ni kutuchapia tu magiants.
Spain [emoji633] - kaliwa kichwa
Portugal [emoji1201] - kaliwa kichwa
France [emoji632] - nae ataliwa kichwa
Finally ni Argentina [emoji1033] vs Morocco [emoji1173]
Kina Otamendi na Akunya wakizingua kombe linakuja Africa kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa dunia.
Unafikiri wao hili hawalijui?Ukweli usemwe tu, England ndio alikua mpinzani halisi kwenye hii michuano jana wametupa gemu ya maana kwelikweli
Hao waliobaki ni wasindikizaji tu.
Kuna wenzako waliojaribu kupulizia ili kumzuia mafaransaLabda bibi mzuie kuingia uwanjaniView attachment 2442642
Ni kweli Morocco wanacheza kwa discipline, ila mbinyo lazima waupate hakuna namnaUnafikiri wao hili hawalijui?
Saizi wamewekeza hope eti kwa Morroco
Sasa Morroco atakuwa na msaada gani kwa mpira ule?
Cha ajabu mechi ya Morocco vs France,wamorocco ndio waafrika na wafrance ndio European!Nyie tutawaona kama blacks tu wa uganda
Mkuu,Qatar walilalamika kwa FIFA kua kuna uhuni unaendelea ili kuonyesha kua wahudhuriaji sio wengi,kuna "Watu" wananunua tiketi nyingi ambazo hazitumiki kuingilia viwanjani,lengo lao ni kuonyesha kua mechi hazina wahudhuriaji wengi,Hivi kwann kwenye hii michuano wahudhuriaji Sio wengi ukilinganisha Na michuano iliyopita?
Kabla ya hapo taarifa zinadai ulipita kwenye bustani ukagonga mti wa matundaKuna updates hapa kwa ndugu zetu wa "we're going home" View attachment 2442665
Unaweza ukawa sahihi. Lakini kumbuka tu, fighting spirit ndiyo imeibeba Morocco mpaka hiyo hatua ya nusu fainali. Hivyo wanastahili kabisa pongezi.Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.