Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Morocco kazi yake hapo Qatar ni kutuchapia tu magiants.
Spain [emoji633] - kaliwa kichwa
Portugal [emoji1201] - kaliwa kichwa
France [emoji632] - nae ataliwa kichwa
Finally ni Argentina [emoji1033] vs Morocco [emoji1173]
Kina Otamendi na Akunya wakizingua kombe linakuja Africa kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa dunia.
Unaota ndoto nyevu asubuhi asubuhi hii, amka ufue mashuka ayo
 
Nyie tutawaona kama blacks tu wa uganda
1670741327489.png
 
Morocco kazi yake hapo Qatar ni kutuchapia tu magiants.
Spain [emoji633] - kaliwa kichwa
Portugal [emoji1201] - kaliwa kichwa
France [emoji632] - nae ataliwa kichwa
Finally ni Argentina [emoji1033] vs Morocco [emoji1173]
Kina Otamendi na Akunya wakizingua kombe linakuja Africa kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa dunia.
Umemsahau na Belgium [emoji1045] kwenye group stage. Croatia [emoji1082] pia shughuli aliiona.
 
Ukweli usemwe tu, England ndio alikua mpinzani halisi kwenye hii michuano jana wametupa gemu ya maana kwelikweli

Hao waliobaki ni wasindikizaji tu.
Unafikiri wao hili hawalijui?

Saizi wamewekeza hope eti kwa Morroco

Sasa Morroco atakuwa na msaada gani kwa mpira ule?
 
Hivi hii Morocco kiwango hiki cha mpira kautolea wapi ? Mbona kachafua hali ya hewa hivi? Yaani anawabandua team kubwa kubwa namna hii, hata akitolewa na France , alama alizoacha lazima Africa ipewe team 8 kwenye WC ya 2026, hatutaki 6 wala 7 , kama kweli mashindano yatabeba teams 48 from 32 za sasa.
 
Hivi kwann kwenye hii michuano wahudhuriaji Sio wengi ukilinganisha Na michuano iliyopita?
 
World cup hii timu zilizo na kiwango kizuri zaidi kwa upande wangu ni
England
France
Netherlands
Wengine wote hamna kitu ni njia na makundi waliyopitia yamewabeba tu
Upande wa mchezaji mmoja ni messi maana kaibeba sana timu yaani yeye ndio engine ya Argentina
 
Hivi kwann kwenye hii michuano wahudhuriaji Sio wengi ukilinganisha Na michuano iliyopita?
Mkuu,Qatar walilalamika kwa FIFA kua kuna uhuni unaendelea ili kuonyesha kua wahudhuriaji sio wengi,kuna "Watu" wananunua tiketi nyingi ambazo hazitumiki kuingilia viwanjani,lengo lao ni kuonyesha kua mechi hazina wahudhuriaji wengi,
Tiketi zinauzwa zote ila wahudhuriaji ni wachache.
 
Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.
Unaweza ukawa sahihi. Lakini kumbuka tu, fighting spirit ndiyo imeibeba Morocco mpaka hiyo hatua ya nusu fainali. Hivyo wanastahili kabisa pongezi.
 
Back
Top Bottom