Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Utabadilisha timu mpaka ukome ila hakuna timu ambayo ikipewa nafasi ichague mpinzani wakucheza naye ikachagua France

Hakuna!!!!

Sio Morroco sio Adventina, hakuna ambaye yuko tayari kukutana na France kwa hiari yao

Hii imewakuta tu wamwpangwa na hawana namna inabidi tu wacheze ila ingekuwa hiari yao hakuna ambaye angethubutu kuchalenjiana na mfaransa

Wewe si mshabiki wa Brazil imekuaje upo France?? Nyie ndo hamna tofauti na malaya[emoji23][emoji23]
 
Nusu fainal Croatia 2-1 Argentina 1
Nusu Fainali Morocco 1- France 0
Au wanaweza enda matuta but other things remains constant wataishia 1-0 ushindi wa Morocco

Alafu Fainali itakuwa

Morocco 2-Croatia 1 Fainali

Morocco mshindi

Wewe si ulisema Brazil anawin WC?? Mmebaki na mpira wa makaratasi na mdomoni, mpira ni dimbani.
 
World cup hii timu zilizo na kiwango kizuri zaidi kwa upande wangu ni
England
France
Netherlands
Wengine wote hamna kitu ni njia na makundi waliyopitia yamewabeba tu
Upande wa mchezaji mmoja ni messi maana kaibeba sana timu yaani yeye ndio engine ya Argentina

Netherland wameonesha kiwango gani?? Bora ungesema Japan ningekuelewa
 
A bunch of weirdos at their epic moment [emoji174] [emoji81] wahuni hawana tabia ya kumuheshimu mpinzani
IMG_20221211_133521.jpg
 
Utakufa kwa chuki kijana. Kombe la Messi hili bila wasiwasi wowote. Tena england ndio nilikuwa nawahofia maana kuna historia fulani.

Baada ya england kufurushwa basi ni raha mustarehe.
Kweli ushabik ni kama kilevi tu....![emoji849][emoji849][emoji849]
 
Morocco out
Morocco out
Africa tusishabikie hao watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usitupangie bana..,!! Katu sishaikii mkoloni.......bora nimshabikie mtoto wa kambo (morocco) kuliko hayo mabeberu yenu....!! Nyie ndio mnaleta ukolon mambi leo[emoji90]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usitupangie bana..,!! Katu sishaikii mkoloni.......bora nimshabikie mtoto wa kambo (morocco) kuliko hayo mabeberu yenu....!! Nyie ndio mnaleta ukolon mambi leo[emoji90]
Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out
Tusishabikie hayo mabaguzi hayatufai
 
Fainali ni Argentina vs Morocco
Umelogwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] team mbeleko ifike huko.....!! Argentina ilionewa huruma ule mpira alioshika messi ilitakiwa RED directly na pale messi angetoka Argentina angekufa...!! All in all sishabikii mabeberu mm...!! Penat ya jana England maafricast wakanyimwa akapiga pure akakosa upuuz mtupu....!!
 
Back
Top Bottom