Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Leo is my Goatš¤[emoji171]
[emoji238]ā¦.
[emoji238]ā¦.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)Bongo tu ndio swala la Morroco wamechulia siriaz sana kama amewaibia mke wao tena wengine wanafuata mkumbo tu maneno ya vijiweni bila kufuatilia mfano watu wengi nimewasikia kutokana na sakata hili eti "Morroco wamesema wao sio waAfrica ni Waarabu" na wabongo wengi mitaani wanaenda na upepo huo kumbe kosa ni kutoitaja africa kwenye ushindi na wala hawajasema kauli yeyote mbaya kuhusu Africa.
Vilevile kwenye Page kubwa za soka waAfrica wengi wako positive kuhusu swala hili na wanasapoti Morroco ila ukija bongo comments utacheka mpaka upasuke chuki na wivu uliopitiliza ..View attachment 2443586
View attachment 2443587
Hata kwenye SkySports haijaandikwa Arab team ni Africa team wao kivyovyote no wawakilishi wa Africa tu hata wakitolewa wamejitahidi sana.View attachment 2443588
Huyo tunchi sijui kawekwa kwa vigezo gani hapo
ungeshabikia timu ya taifa jingine vs timu ya taifa lako?Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)
Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
Kama ni yule bonge kala red,raha sanaaaHapo ndio wanapatia ila yule chedira hapana kocha amuangalie zile nafasi anazokosa
Potelea mbaliungeshabikia timu ya taifa jingine vs timu ya taifa lako?
nyie ndio ambao mkienda vitani huwa mnawekwa mbele ili mkufe
Moja Morroco mbili Croatia. Nimemaliza. Na sihami.Nyie ndio walewale tu sema kabisa upo upande gani usisubiri matokeo.
Hapo Croatia tupo pamoja tusubiriMoja Morroco mbili Croatia. Nimemaliza. Na sihami.
Nimeinukuu pembeni hii final ikifika tutakumbushanaššš Suala la Argentina kubeba kombe la dunia mwaka huu halina mjadala. Leteni takwimu hata za ndondo maana hata Saudi Arabia naye aliwafunga mwaka huu, wako wapi?
Kwanini
Mm presha iko juu utafkr mm ndo nachezA½ fainali ya kwnz kushuhudiwa kesho duniani kote... Mwenye uwezo wake kutinga fainali akimsubiri mtabe mwenzio kutoka ½ fainali ya pili kesho kutwa...
Tukae kwa kutulia tu wazeia, "ngoma inogile" hii.... Yote kwa yote, tutashuhudia mpira mzuri katika ½ fainali zote 2. Kifupi usikosee kucheki kwani hutojuta kutumia muda wako....
Karibuni sanaaaa.......
Hiki ki refa siku ile kimegawa kadi balaa
Bongo tu ndio swala la Morroco wamechulia siriaz sana kama amewaibia mke wao tena wengine wanafuata mkumbo tu maneno ya vijiweni bila kufuatilia mfano watu wengi nimewasikia kutokana na sakata hili eti "Morroco wamesema wao sio waAfrica ni Waarabu" na wabongo wengi mitaani wanaenda na upepo huo kumbe kosa ni kutoitaja africa kwenye ushindi na wala hawajasema kauli yeyote mbaya kuhusu Africa.
Vilevile kwenye Page kubwa za soka waAfrica wengi wako positive kuhusu swala hili na wanasapoti Morroco ila ukija bongo comments utacheka mpaka upasuke chuki na wivu uliopitiliza ..View attachment 2443586
View attachment 2443587
Hata kwenye SkySports haijaandikwa Arab team ni Africa team wao kivyovyote no wawakilishi wa Africa tu hata wakitolewa wamejitahidi sana.View attachment 2443588
š¤£š¤£š¤£View attachment 2442262
Pole kaka Lonadoš